Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Udhoefu Wa Wengine Waweza Kukuokoa Na Majanga

Tunaishi katika dunia ambayo kila mtu na mapito yake na kwa viwango tofauti.
Ukweli wa mambo ni huu – Wako watu ambao maisha yao yamebeba maonyo juu ya maisha. Ukipata nafasi kuwasikiliza juu ya yale waliyoyapitia na yaliyowasibu kama matokeo au zawadi ya kufanya waliyofanya; Utakuwa umeonyeka kutothubutu kuyafanya hayo uliyo yasikia na ndio maana wahenga walisema ‘Asiyesikia la mkuu huvunjika guu’.
Lakini upande wa pili wa shilingi tunapata mafundisho ya kuzingatia kupitia maisha ya watu. Kitu kimoja cha kushangaza ni kwamba hakuna binadamu asiye na stori ya kukueleza. Kikubwa tu stori yake yaweza kuwa onyo au fundisho, na yote unayahitaji ili uwe na maisha yenye mizania.
Udhoefu wa watu waweza okoa maisha yako ya ndoa ambayo inakaribia kuvunjika (divorce).
Udhoefu wa watu waweza kukuokoa na kiharusi.
Udhoefu wa watu waweza kukuokoa na maisha duni ambayo umeyaishi miaka nenda miaka rudi.
Udhoefu wa watu ni madini ya ajabu katika kuboresha maisha na ndio maana mafunzo yako ya pande zote mbili yaani maisha hasi na chanya ya watu ni darasa tosha kwetu.
Ushauri wangu – Kamwe tusizembee katika kujifunza maana hujui ni lini utakutana na wazo ambalo ndilo likabadilisha kabisa maisha yako na ukabaki ukijishangaa.
Liko wazo moja limebakia kubadili kabisa maisha yako. Juhudi yako na kiu yako ya utafutaji maarifa/mawazo ndiyo pekee iliyobaki kwako na Mungu akusaidie usiingie uvivu katika hili.
Yote uyaonayo na kuvutiwa kwayo ni mawazo ya watu (Ideas only and only ideas will turn around your life).
Hivyo tumia njia hizi tatu kuendelea kujifunza:
1. Kuwa Mtafiti/Mchunguzi – Kuwa makini/mwangalifu unapochunguza jambo au mambo na fikia suluhu itakayo kusaidia kukutoa nafasi moja kwenda nyingine. Hii ni njia mojawapo nzuri ya kujifunza.
2. Penda kusikiliza lakini SIYO UMBEA/SHILAWADU. Kuna mambo ukiyasikiliza tena na tena kuna kitu kwangu nimekiona. Mara ya kwanza nikisiliza ni tofauti na mara ya pili. Mara ya pili kunakuwa na vitu kama vipya japo nilichokisiliza ni kile kile. Tabia hii ya kusikiliza imeyabadili sana maisha yangu.
Kama una miliki gari nakuomba achana na ndombolo la solo ebu weka educative cds/audios/cassetes. Niko mbioni kutengeneza memory cards zenye mafundisho lukuki na nikimaliza tutahabarishana kwa wale watakao zihitaji ili mkuweza sikiliza wakiwa wanaendesha.
Ingia you tube na wasikilize watu mashuhuri kama kina Les Brown, Brain Tracy, Max Well, Robert Kiyosaki na wengine wengi orodha waweza nisaidia kuiongeza.
Mimi siku hizi nimenunua ear phone nzuri zinanifanya kusikia vizuri. Hivyo nikiwa kwenye mwendo kasi au daladala naendelea kusikiliza. Naomba jaribu tabia hii nzuri na yatakayokupata ni ushuhuda.
3. Soma vitabu. Soma Vitabu. Soma vitabu. Yu mkini wazo moja ulitafutalo yawezekana ukakutana nalo kwenye vitabu. Jana ndugu na rafiki yetu Raymond alitushirikisha vitabu takribani 52 nami naongezea. Hii ni moja ya njia nzuri sana ya kukubadilisha namna unayofikiri, unavyochukua hatua na utendaji wako kiasi cha kuanza kuongeza uzalishaji.
Kama ndio unaanza usomaji wa vitabu nakushauri anza na vitabu na. 77 kifuate cha 75 na cha tatu kiwe na.2 kisha waweza endelea na vingine.
LIST OF BOOKS
S/N NAME OF THE BOOK
1 A GREAT STEP BY STEP ACTION PLAN THAT WILL HELP YOU GET EVERYTHING YOU WANT BY DAN CLARK
2 ACRES OF DIAMONDS - RUSSELL H.CONWELL
3 ATLAS SHRUGGED - ANN RAND
4 ATTITUDE IS EVERYTHING, CHANGE YOUR ATTITUDE AND YOU CHANGE YOUR LIFE BY JEFF KELLER
5 AUTOBIOGRAPHIES AND BIOGRAPHIES - SUCCESSFUL PEOPLE
6 BREAK OUT BY JOEL OSTEEN
7 BREAKING THE WALL BY DOUBLE DIAMOND MANAGER KARTIN BAJRI.
8 BRINGING OUT THE BEST IN PEOPLE. BY ALAN LOY MCGINNIS
9 CAUSING OTHERS TO WANT YOUR LEADERSHIP. BY ROBERT DE BRUYN
10 CRITICAL THINKING, CONCEPT & TOOLS BY RICHARD PAUL AND LINDA ELDER
11 DARE TO DREAM AND WORK TO WIN BY DR. TOM BARRETT
12 DON'T SWEAT THE SMALL STUFF…………. AND IT'S ALL SMALL STUFF BY RICHARD CARLSON
13 Eat That Frog by Brian Tracy
14 FOREVER COMPANY POLICY BOOK BY FLP EAST AFRICA
15 GET WHAT YOU WANT BY PATRICIA FRIPP
16 GO PRO BY ERIC WORRE
17 GREATEST NETWORKER IN THE WORLD - JOHN MILTON FOGG
18 GREATEST SALESMAN THAT EVER LIVED - OG MANDINO
19 HABITS OF HIGHLY SUCCESSFUL PEOPLE - STEVEN COVEY
20 HOW I RAISED MYSELF FROM FAILURE TO SUCCESS - FRANK BETTGER
21 HOW TO LIVE 365 DAYS A YEAR BY DR. SCHINDLER
22 HOW TO READ A BOOK - MORTIMER J. ADLER
23 HOW TO TALK WELL BY DR. JAMES F. BENDER
24 HOW TO WIN FRIENDS AND INFLUENCE PEOPLE - DALE CARNEGIE
25 IF IT AIN'T BROKE… BREAK IT BY ROBERT KRIEGEL
26 INTERPERSONAL CONFLICT RESOLUTION BY DR. ALAN C. FILLEY
27 LAWS OF SUCCESS - NAPOLEON HILL
28 LEADING AN INSPIRED LIFE - JIM ROHN
29 LIFE IS TREMENDOUS - CHARLIE "TREMENDOUS" JONES
30 LINCOLN ON LEADERSHIP - DONALD T.PHILLIPS
31 LIVE AND LEARN AND PASS IT ON BY H.JACKSON BROWN JR.
32 MAGIC WORDS THAT BRING YOU RICHES BY TED NICHOLAS
33 MAXIMUM ACHIEVEMENT - BRIAN TRACY
34 MISS PHILLIPS YOU ARE WRONG - PETER DANIELS
35 MLM NUTS & BOLTS BY JAN ROHE
36 MY UTMOST FOR HIS HIGHEST - OSWALD CHAMBERS
37 NGUZO ZA BIASHARA YA MTANDAO BY KHUSHE & LIGHTNESS.
38 NO MONEY DOWN BY ROBERT G. ALLEN
39 ON WINGS OF EAGLES. BY KEN FOLLETT
40 ONE MINUTE MANAGER - KENNETH BLANCHARD
41 POWER OF FOCUS - JACK CONFIELD
42 REAL MOMENTS BY BARBARA DE ANGELIS
43 RECLAIMING HIGHER GROUND BY LANCE H.K. SECRETAN
44 RELATIONSHIP SELLING BY JIM CATHCART
45 SEASONS OF LIFE - JIM ROHN
46 SEE YOU AT THE TOP - ZIG ZIGLAR
47 SEEDS OF GREATNESS - DENIS WAITLEY
48 SOMETIMES YOU WIN SOMETIMES YOU LEARN BY JOHN C. MAXWELL
49 SWIM WITH THE SHARKS BY HARVEY MACKAY
50 TAKE THIS JOB AND LOVE IT: The joy of professional selling by tim breithaupt
51 THE BIBLE
52 THE COMPOUND EFFECT BY DARREN HARDY
53 THE EXTRAORDINARY BY ROBIN SHARMA
54 THE GAME OF LIFE AND HOW TO PLAY IT - FLORENCE SCOVEL - SHINN
55 THE GIVING YOURSELF AWAY. BY DAVID DUNN
56 THE MILLIONARE'S SECRET BY TOM HARKEN
57 THE MILLIONARE'S SECRET BY TOM HARKEN
58 THE MOST BEAUTIFUL BUSINESS ON EARTH BY ROLF KIPP
59 THE NEW ART ANDSCIENCE OF GETTING WHAT YOU WANT BY HARRY ALDER
60 THE ONE MINUTE MANAGER BY KEN BLANCHARD
61 THE ON-PURPOSE PERSON BY KEVIN W. McCARTHY
62 THE PLATINUM RULE BY DR. TONY ALESSANDRA
63 THE PURSUIT OF GOD - A.W. TOZER
64 THE SLIGHT EDGE BY JEFF OLSON
65 THE TOP 10 MISTAKES LEADERS MAKE BY HANS FINZEL.
66 WHO MOVED MY CHEESE - SPENCER JOHNSON & KENNETH BLANCHARD
67 WINNING WITHOUT INTIMIDATION - BOB BURG
68 WORK FOR A LIVING AND STILL BE FREE TO LIVE BY EILEEN MCDARGH
69 YOU WERE BORN RICH - BOB PROCTOR
70 YOUR FIRST YEAR IN NETWORK MARKETING BUSINESS BY MARK YARNELL
71 INSPIRING SPEECHES BY GREAT PERSONALITIES BY MEGHA BATRA
72 The power of positive thinking.
73 Rich Dad Poor Dad
74 As A Man Thinketh
75 The Richest Man in Babylon
76 Who Moved My Cheese?
77 Think and Grow Rich. By Napoleon Hill
78 How to Win Friends And Influence People.
79 See you at the top.
80 The Power of Focus.
81 Magic of thinking Big+F21
KAMWE USIZIMISHE KIU YA KUJIFUNZA KWANI HUJUI NI LINI UTAJIFUNZA MAARIFA AMBAYO YATAONGEZA THAMANI YA MAISHA YAKO MARA 100 AU 1,000 AU 1,000,000 NA KUENDELEA. HII NDIYO SHUGHULI YA KUITENGEA MUDA WA KUTOSHA KUJIFUNZA.
NAJUA WENGINE WATAFANYA NA WENGINE HAWATAFANYA LAKINI MAISHA YANAENDELEA NA WAJIBU WETU WA KUONYA NA KUFUNDISHA TUMEUTENDA. KAZI KWAKO.
Nimalizie kwa kusema:
Elimu ya darasani itakupatia ajira bali elimu hii tunayoendelea nayo inayojulikana kama isiyo rasmi ndiyo iliyosheheni utajiri. Sisemi elimu ya darasani ni mbaya la hasha kwani nami naheshimu na kuhimiza wanangu wasome lakini ukweli utabaki pale pale ya kuwa ukiwa na elimu zote utakuwa bora zaidi. Lakini ukibaki na ya darasani tu najua majibu unayo tayari.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Akili Hisia (emotional intelligence).

Lea mtizamo wa kisayansi, akili hisia ni ule uwezo wa mtu kuweza kutawala anachokiona kwenye mazingira aliyomo. Hii inaamanisha kwamba aweze kutawala mazingira kwa kutumia akili ya hisia zake na wale waliomzunguka. Mtu atawezaje kuelewa kwa kutumia hisia, ishara zinazoonekana kwenye mahusiano mbalimbali bila kuambiwa sentensi au hata neno moja? Utawezaje kutawala hisia zako na za watu wengine katika mazingira uliyomo? Kuna hatua sita za kuchukua ili akili hisia zako zikupe mafanikio unayoyatafuta. #1. Hatua ya kwanza ni wewe mwenyewe kujitambua. Kujitambua ni kitu muhimu kabisa linapokuja suala la akili hisia au emotional intelligence (EQ). Hebu tujiulize ni kwanini? Bila akili hisia hatuna namna yeyote ya kujitathmini kwa vile vipaji ama tulivyo navyo, tusivyo navyo au tunavyohitaji kujifunza ili tuweze kufanikiwa katika mambo yetu mbalimbali. Utaishia kuwa kama kipofu, maana hutaona chochote katika mazingira yaliyokuzunguka. Utapata shida kubwa kutumia mikono isiyoonekana. Aki...

Timiza Malengo Yako na Joel Nanauka.

Ninamshukuru Mungu sana kuweza kuwa na waandishi mashuhuri wa kitanzania ambao wanaweza andika vitabu kwa lugha ya Kiswahili na kusaidia watanzania wengi zaidi. Kitabu cha Timiza Malengo ni kitabu cha aina yake na kamwe si cha kukosekana kwenye maktaba yako. Kama kuna kitu familia yako inabidi ikushukuru basi ni hichi kitabu. Mimi ni msomaji sana wa vitabu na niseme tu ukweli kitabu hichi ni hazina tosha na hakikisha unapata nakala yako. Wahenga walisema tusiandikie wino wakati mate yapo. Nilichokifanya ni kukupatia sehemu ya hichi kitabu kutoka ukurasa wa 29 hadi 40 neno kwa neon ujisomee na useme mwenyewe je uko tayari kukikosa hichi kitabu? Tafadhali fuatana name nikinukuu kitabu cha Joel Nanauka kwa idhini yake kama ifuatavyo:- NJIA MBILI ZA KUTAMBUA KUSUDI LA MAISHA YAKO: Siku moja wakati Tiger Woods anahojiwa na mtangazaji akamwabia ‘’It seems like you like golf so much’’ (Inaonekana kuwa unaipenda gofu sana).Tiger Woods akamjibu, ‘’Not only I like golf but I am golf,’’ a...

CONSCIOUS NA SUB-CONCIOUS MIND

Wazo La Leo Hongera sana mwanakarakana ya ubongo kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi bora na ya kipekee sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Leo nimeona vyema nizungumzie maana ya maneno ambayo tumekuwa tukiyasikia mara kwa mara. Conscious na Subconscious. Kwanza unatakiwa uelewe "sub" maana yake nn, hii ni prefix...ikiwa na maana ya "below" something, sio negative or opposite that something. Kwa hiyo maana ya "conscious mind" ni kujitambua na subconscious mind means: internal sense of being ambayo consious mind haiwezi decipher, i mean kukupa maono halisi, wakristo wanaita nafsi, mfano mzuri wa activities za subconscious mind ni ndoto Conscious mind-ni kutumia akili wakati tendo fulani linafanyika. Hii inatokea pale mtu anapokuwa hana uzoefu wakati anafanya jambo/tendo fulani, kutokana na kutokuwa na uzoefu inabidi atumie uzingativu wakati wa kutekeleza jambo/tendo husika. kwa mfano mtu anayej...