Utaambulia Nini? Kwa Lugha Ya Wenzetu Ni "What's In It For Me?"
Jinsi ya Kukabiliana na Mihemko ya Hisia za Aina Mbalimbali
Mhemko wa hisia ni mabadiliko yanayoweza kumtokea mtu yeyote yule awaye.
Kila mtu anayo mihemko ya aina mbalimbali kulingana na mazingira aliyomo na pia watu waliokuzunguka.
Kuna muda wa furaha, huzuni na hata kuwa kawaida. Saa nyingine tunajisikia kama vile tuko juu ya kila kitu, baada ya muda tunajikuta tunasononeka au hata kujisikia kila kitu kiko hovyo.
Mabadiliko ya mihemko ya hisia ni jambo la kawaida katika maisha yetu ya kila siku. Ila inapotokea mihemko ya hisia inapopitiliza (extreme cases) inaweza kusababisha usumbufu na kusababisha ufanisi wa mtu husika kuwa mbovu.
Tafadhali, jisajili kwa ajili ya kupata huduma zetu kwa ufanisi zaidi.
1) Be Ready To Learn - www.bereadytolearn.org
2) Karakana ya Ubongo - www.karakanayaubongo.blogspot.com
Kuna ugonjwa unaoitwa marashi ya hisia (bipolar disorder) ambao unasababishwa na mihemko ya hisia kumzidi mtu.
Mtu anajikuta anajizungusha kwenye mihimili miwili, mfano anakuwa amesononeka ghafla na ghafla anakasirika. Anakuwa mwenye furaha halafu ghafla hatabiriki n.k.
#1. Je, utafanya nini ili kupambana na hali ya mhemko wa tabia?
Kama umejikuta kwenye hali ya mihemko ya tabia (mood swings) kwa muda mrefu kiasi cha kukuletea madhara na watu waliokuzunguka unatakiwa ujue kikamilifu hatua za kuchua.
Mihemko ya tabia ni tabia inayotibika kama haijavuka mipaka. Ila ikipitiliza ni lazima kumuona daktari au mtalaamu anayejua mbinu za kukusaidia.
#2. Vipi kuhusu mihemko ya tabia ambayo haijapitiliza?
Mihemko ya aina hii huwa inakuja na kuondoka bila shida yoyote.
Japo bado haijathibitika mihemko ya tabia inasabishwa na nini! Inasemekana aina fulani za vyakula, vinywaji au madawa fulani vinasababisha hiyo hali. Inabidi uwe na tabia ya kujichunguza mwenyewe unapojigundua una hilo tatizo ili siku nyingine usitumie au ukwepe mazingira yaliyokusababishia hiyo hali.
Kama itaweza kuwa na daftari maalumu la kuhifadhi kumbukumbu utajirahisishia kujitambua na kuchukua hatua stahiki ili kukwepa tatizo la mihemko ya tabia ya kujirudia mbeleni.
#3. Unaweza je kuboresha mihemko ya tabia na kuwa mwenye furaha?
Kama umeshashudia hali yako ikibadilika bila hata kujua sababu muda wowote inabidi ujifunze kujiangalia ndani vitendo unavyofanya katika mazingira yako.
Hisia zetu zinatuletea mambo mbalimbali na inatubidi tujifunze kutambua kile kinachotokea ndani na nje ya miili yetu. Mara nyingi shida siyo mihemko ya tabia zetu bali ni mambo yaliyo kwenye uwezo wetu tunayaruhusu yatokee. Tunaweza kupamba na kuitawala hiyo hali ya mihemko ya tabia zetu.
Ni muhimu kujifunza namna ya kuijua mihemko ya tabia zako na pia kuchukua hatua za kurekebisha hiyo hali ili tuweze kujipatia furaha.
Zifuatazo ni hatua muhimu zinazoweza kidhibiti mihemko ya tabia na hisia zako.
1) Angalia unachokula au kunywa. Hakikisha siku zote unakula mlo kamili. Mfano wake ni mboga mboga, matunda, nafaka, protini na vitu vyenye madini joto.
Kuna kemikali moja inazalishwa mwilini tunapokuwa tunahisi njaa au kiu iitwayo Cortisol. Kemikali hii ina uwezo wa kudumaza mfumo wa mwili unaotukinga na magonjwa na inatuletea msongo wa mawazo.
Kemikali hii inapunguzwa kwa kula chakula au kunywa kinywaji, zaidi. Kwa wale wenye uzito mkubwa (obese) inachangia kuwafanya wajisikie vizuri wanapokuwa mbele ya chakula au kinywaji. Wanajikuta wakila kupitiliza.
2) Pendelea kufanyisha ubongo wako mazoezi. Michezo au shughuli yoyote inayotumia akili yako itakusaidia kutengeneza dopamine ili ujisikie vizuri na kupunguza mihemko ya tabia.
Kushughulisha akili yako kwa mazoezi unayopenda itakusaidia kutengeneza hisia nzuri, uwezo wa kufikiri na pia kujifunza namna ya kujitambua.
Ndo maana hata baadhi ya watu haswa kina mama wakitaka gym wanapokuwa na furaha ya msisimko (euphoria) wa aina fulani. Hatimaye inawasaidia kwa kiasi kikubwa kuangamiza mihemko ya tabia.
3) Wewe unaweza kujisababishia mwenyewe mihemko ya tabia kama huna uwezo wa kujisikiliza kila wakati. Lazima uwe na tabia ya kujisikiliza ili uchukue hatua kurekebisha mambo kabla hayajaharibika
4) Iwapo una tabia ya kutokulala muda wa kutosha, lazima mihemko ya tabia ikunyemelee. Ni lazima tulale kati ya masaa 7 hadi 8 kila siku. Tukiweza kuongeza muda wa kulala ni dawa tosha kabisa ya mihemko ya tabia.
5) Tunapotumia muda mwingi kwenye vifaa vya kompyuta, simu na TV, pia vinatuathiri bila kujua.
Uwe mwenye nidhamu unapoianza siku na kuwa mwangalifu juu ya TV ili kuupa taarifa Ubongo wako ya kuwa huu ni muda wa kuchapa kazi. Jenga tabia ya kugeuza chumba cha kulala kiwe ni chumba cha kulala na mambo ya unyumba pekee. Simu isiingie kitandani. TV nayo isiangaliwe ukiwa unalala.
Hitimisho
Mihenko ya tabia ikithibitiwa ni kitu kizuri maana inatusaidia kujua mabadiliko yanayotokea kwenye miili yetu. Tunaweza kukabiliana na mazingira yetu kwa urahisi zaidi.
Kwa maana nyingine wakati wa furaha na mambo yetu yamekaa vizuri tunaweza kufanya mambo mengi na kufikiri vizuri zaidi. Ila mambo yakiwa sivyo tunaweza kutulia na kuhifadhi nguvu zetu ili tusifanye makosa. (when times are good and spirits are high, we take more risks at a time they are likely to be rewarded).
Hapa Karakana ya Ubongo na Be Ready To Learn ni mahali unapoweza kuyapata mambo hayo kwa urahisi kabisa.
Usisahau kualika watu amnao ni first class kama wewe. Unayo privilege ya kuwaongeza moja kwa moja.
Majibu ya maswali haya ni sehemu muhimu sana ya mazoezi yanayohitajika na Ubongo wako.
Karakana ya Ubongo na Be Ready To Learn inataka kukuleta kupitia Kalenda ya 2018 mambo mbalimbali kama ilivyooneeshwa katika ratiba yam waka vipaumbele vitakavyo fanyiwa kazi.
Lakini pia Mimi Kocha na Rafiki yako ninataka tuwe tunafanya experiments mbali mbali.
Kwa wale ambao wanachukulia mafunzo haya kwa kumaanisha, wajiandae kushangaa.
Hivi kuna Mwana Karakana ya Ubongo ambaye amefikisha kuajiri watu 10 humu ndani? Tafadhali niambie. Tuko 200 sasa. Safari yetu ili jaribio (experiment) liingine liende vizuri, nahitaji tufike 1000 tu.
Universal Basic Learning (UBL) is a novel approach to basic learning in a many different ways as per our 2018 Calendar.
All our programs at Karakana ya Ubongo and Be Ready To Learn will be funded creatively using different experiments one at a time. We will be recording everything for content creation as well as knowing what works and what doesn't work. It's a trial and error process.
Second, Universal Basic Learning (UBL) uses humour and suspense.
Humour works great even with the most demotivated people. I will do my best as a Coach to ensure that you wouldn't want to miss the sessions due to witty sense of humour.
We are naturally lazy, I will be using suspense going back and forth to make ideas, stories and concepts stick. No one likes to read a book if they know what's about to happen.
Ninakushukuru sana kwa kuweza kunifuatilia na nikuombe kuwa huru kunipigia, au kuniandikia, maana najisikia vizuri sana ninapoweza kuwa msaada kwa mtu. Mimi ni mtumishi wenu. Na kwa vile umeamua mwenyewe kuwemo humu basi huna budi kuhakikisha tunajadili kwa pamoja na kufikia suluhisho muafaka kwa maisha yetu.
Nisikuchoshe ni mimi rafiki na kocha wako Seth Simon Mwakitalu 0754 441 325/0714 051 174/0788 493 836 Barua pepe ssmwakitalu2013@gmail.com

Maoni
Chapisha Maoni