Ruka hadi kwenye maudhui makuu

UMEFANYA NINI KATIKA MAISHA YAKO?

Wazo La Leo:

Habari ya   leo rafiki na msomaji wa mtiririko wa Makala za kila siku zijulikanazo kama wazo la leo.

Leo nataka niongelee kidogo juu ya: Umefanya nini katika maisha yako?

Swali laweza mfikirisha sana mtu, lakini kifupi toka uzaliwe umefanya nini ili hata uweze sema angalau nimefanya jambo/kitu ambacho ninaweza sema hakika sijutii kuzaliwa kwangu.

Wengi ni tatizo maana hadi muda huu ujumbe huu unawafanya wajishangae maana wakiangalia nyuma hawaoni kabisa kitu/jambo lenye tija ambalo limefanyika.

Leo hebu nianze kukuambia rafiki yangu, Sehemu ya kwanza ambayo imesababisha tushindwe kufanya mambo yenye maana ni kule kusjishughulisha na shughuli tusizo zipenda.

Umewahi sikia watu wakishangilia siku ya Ijumaa inapofika. Wengi utasikia asante Mungu ni Ijumaa leo. Usemi huu hubeba ujumbe mkubwa sana ya kwamba sasa nakwenda kuisahau hii shughuli na kupumzika. Watu wa jinsi hii wako lukuki. Ukisikia maneno yatokayo vinywani mwao ni kulaani viongozi, kulaani utaratibu mzima wa kazi, mara sijui lini mshahara  utapanda yaani ni manung’uniko tu ili mradi kujiriwazaa.

Inaelezwa tafsiri sahihi ya UKICHAA ni kuendeleee kufanya jambo lile lile huku ukitegemea matokeo tofauti na miaka ya nyuma huku ukijua kabisa shughuli ni ile ile na hakuna badiliko lolote hata juu ya ufanyaji wa kazi hiyo. Huo ni UKICHAA.

Fanya mambo kwa utofauti na kama ufanyalo hulifurahii basi kunung’unika hakutakusaidia. Nimekumbuka habari moja niliyowahi kusimulia na kocha wangu Less Brown ya kuwa alipomtembelea rafiki yake alimkuta mbwa analalama akiwa amekaa na ndipo Less Brown alipouliza:- Ni kwa nini mbwa huyu analalama na mwenyeji wake akamjibu ya kuwa mbwa huyo amekalia msumari ndio maana analalama. Less Brown akauliza - kwa nini asitoke basi maana namwonea huruma. Mwenye mbwa akajibu na kusema huo msumari haujamwingia vizuri, subiri ukimwingia vizuri atatoka mwenyewe, achana naye.

Wengi wetu twafananishwa na mbwa aliyekalia msumari hatuishi kulalama, lakini ujumbe ni huu ngonja ukuingie vizuri huo msumari hutahitaji tena msaada zaidi ya kukimbia. Mungu atusaidie.

Sababu nyingine ni sauti ya ndani yako kila siku inakusemesha ukibadili shughuli hii utapata taabu sana, mara acha kujihangaisha wewe hujawahi sikia wambili havai moja, wewe ni wa fungu la kukosa. Sasa shida iliyopo utadhani umechanganyikiwa maana huishi kuongea peke yako.

Mara mimi mimi hawaniwezi. Akina nani hao? Pole rafiki ngoja msumari ukuingie kisawasawa.

Narudia kusema na sitaacha kusema - uko jinsi ulivyo ni kwa sababu ya kujitakia kwani kila ukiambiwa ya kufanya huishi visingizio, mara nitapata wapi muda mie ila ngoja uambiwe kuna mpira wa simba na nyanga utaona muda unapatikana.

Naomba nimalizie kwa kuendelea kukusisitiza mambo yafuatayo:-

1.       Kila siku jioni tafuta muda angalau wa nusu saa ujitenge na jaribu kutafakari maisha yako huku ukiwa na kinoti buku. Tumia muda huo kujiuliza jinsi ulivyoitumia siku yako na panga kwa kuboresha mambo utakayofanya kesho yake (TO DO LIST).

2.       Jitahidi kabla ya kulala jisomee kitu chochote chanya au sikiliza video yenye kukupa hamasa. Na hakikisha mara nyingi unalala saa nne au kabla labda kuwe na dharura.  Kupumzika ni muhimu kwa afya angalau masaa 6 kwa mtu mzima  na mtafutaji.

3.       Amka kabla au saa 11 asubuhi na si  zaidi ya hapo. Mara tu uamkapo anza na kumshukuru Mungu kwa kuamka salama na ikabidhi siku yako ili ukafanye mambo makubwa, pili tahajudi (Meditate) angalau kwa dakika 15 hadi nusu saa, soma biblia, na pata angalau muda wa kujisomea kitabu angalau kwa kurasa kumi, au sikiliza video yoyote ya hamasa na mwisho fanya mazoezi angalau ya nusu saa. Baada ya hapo utakuwa tayari kuianza siku yako vyema.

4.       Thaminisha muda wako. Mfano mimi saa moja kwa sasa ni sawa na TZS 350,000 na hivyo mtazamo wangu juu ya muda ni matumizi ya 350,000 kwa saa. Hakika siko tayari unipotezee thamani ya muda wangu.  Kila wakati nawaza nikichezea muda nachezea fedha zangu. Hivyo sikai kiasara hasara. Muda wote niko na jambo la maana nafanya.  Yaani ni bora nikae mahali fulani nasikiliza video au najisomea kuliko kuungana na makundi ya kusogoa au kubishana mambo ya siasa nk.

5.       Kuwa mwangalifu na TV. TV ni mwizi mkubwa wa muda. Mimi nimeachana na TV. Naweza angalia TV mara chache sana tena kwa bahati mbaya labda niko kwenye  basi au nimemtembelea mtu na wanaangalia TV. Lakini kwangu TV nilisha achana nayo ni Sumu kubwa ya maendeleo.

Naona niishie hapo kutiririka. Mwenye kuelewa na aelewe. Mabadiliko huanza na wewe.

Ninakushukuru sana kwa kuweza kunifuatilia na nikuombe kuwa huru kunipigia, au kuniandikia. Pamoja tunaweza

Seth Simon Mwakitalu
Senior Auditor, Entrepreneurship Consultant, Coach and Lifestyle Trainer.
Tel:- +255 754 441325;  +255 714 051174;  +255 788 493836
Email: ssmwakitalu2013@gmail.com
Websites:www.karakanayaubongo.blogspot.com;
                 :www.bereadytolearn.org
We empower people:-
1. Achieve life and Career goals through part-time business venture.
2. Acquire life changing business skills.
3. Prepare for retirement.

---------- Forwarded message ----------
From: "seth mwakitalu" <ssmwakitalu2013@gmail.com>
Date: Sep 29, 2018 8:35 PM
Subject: wazo
To: "seth mwakitalu" <ssmwakitalu2013@gmail.com>
Cc:

Wazo La Leo: Umefanya Nini Katika Maisha Yako?

3. Prepare for retirement

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Akili Hisia (emotional intelligence).

Lea mtizamo wa kisayansi, akili hisia ni ule uwezo wa mtu kuweza kutawala anachokiona kwenye mazingira aliyomo. Hii inaamanisha kwamba aweze kutawala mazingira kwa kutumia akili ya hisia zake na wale waliomzunguka. Mtu atawezaje kuelewa kwa kutumia hisia, ishara zinazoonekana kwenye mahusiano mbalimbali bila kuambiwa sentensi au hata neno moja? Utawezaje kutawala hisia zako na za watu wengine katika mazingira uliyomo? Kuna hatua sita za kuchukua ili akili hisia zako zikupe mafanikio unayoyatafuta. #1. Hatua ya kwanza ni wewe mwenyewe kujitambua. Kujitambua ni kitu muhimu kabisa linapokuja suala la akili hisia au emotional intelligence (EQ). Hebu tujiulize ni kwanini? Bila akili hisia hatuna namna yeyote ya kujitathmini kwa vile vipaji ama tulivyo navyo, tusivyo navyo au tunavyohitaji kujifunza ili tuweze kufanikiwa katika mambo yetu mbalimbali. Utaishia kuwa kama kipofu, maana hutaona chochote katika mazingira yaliyokuzunguka. Utapata shida kubwa kutumia mikono isiyoonekana. Aki...

Timiza Malengo Yako na Joel Nanauka.

Ninamshukuru Mungu sana kuweza kuwa na waandishi mashuhuri wa kitanzania ambao wanaweza andika vitabu kwa lugha ya Kiswahili na kusaidia watanzania wengi zaidi. Kitabu cha Timiza Malengo ni kitabu cha aina yake na kamwe si cha kukosekana kwenye maktaba yako. Kama kuna kitu familia yako inabidi ikushukuru basi ni hichi kitabu. Mimi ni msomaji sana wa vitabu na niseme tu ukweli kitabu hichi ni hazina tosha na hakikisha unapata nakala yako. Wahenga walisema tusiandikie wino wakati mate yapo. Nilichokifanya ni kukupatia sehemu ya hichi kitabu kutoka ukurasa wa 29 hadi 40 neno kwa neon ujisomee na useme mwenyewe je uko tayari kukikosa hichi kitabu? Tafadhali fuatana name nikinukuu kitabu cha Joel Nanauka kwa idhini yake kama ifuatavyo:- NJIA MBILI ZA KUTAMBUA KUSUDI LA MAISHA YAKO: Siku moja wakati Tiger Woods anahojiwa na mtangazaji akamwabia ‘’It seems like you like golf so much’’ (Inaonekana kuwa unaipenda gofu sana).Tiger Woods akamjibu, ‘’Not only I like golf but I am golf,’’ a...

CONSCIOUS NA SUB-CONCIOUS MIND

Wazo La Leo Hongera sana mwanakarakana ya ubongo kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi bora na ya kipekee sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Leo nimeona vyema nizungumzie maana ya maneno ambayo tumekuwa tukiyasikia mara kwa mara. Conscious na Subconscious. Kwanza unatakiwa uelewe "sub" maana yake nn, hii ni prefix...ikiwa na maana ya "below" something, sio negative or opposite that something. Kwa hiyo maana ya "conscious mind" ni kujitambua na subconscious mind means: internal sense of being ambayo consious mind haiwezi decipher, i mean kukupa maono halisi, wakristo wanaita nafsi, mfano mzuri wa activities za subconscious mind ni ndoto Conscious mind-ni kutumia akili wakati tendo fulani linafanyika. Hii inatokea pale mtu anapokuwa hana uzoefu wakati anafanya jambo/tendo fulani, kutokana na kutokuwa na uzoefu inabidi atumie uzingativu wakati wa kutekeleza jambo/tendo husika. kwa mfano mtu anayej...