Wazo La Leo
Hongera sana mwanakarakana ya ubongo kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo.
Ni nafasi bora na ya kipekee sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana.
Leo nimeona vyema nizungumzie maana ya maneno ambayo tumekuwa tukiyasikia mara kwa mara. Conscious na Subconscious.
Kwanza unatakiwa uelewe "sub" maana yake nn, hii ni prefix...ikiwa na maana ya "below" something, sio negative or opposite that something. Kwa hiyo maana ya "conscious mind" ni kujitambua na subconscious mind means: internal sense of being ambayo consious mind haiwezi decipher, i mean kukupa maono halisi, wakristo wanaita nafsi, mfano mzuri wa activities za subconscious mind ni ndoto
Conscious mind-ni kutumia akili wakati tendo fulani linafanyika. Hii inatokea pale mtu anapokuwa hana uzoefu wakati anafanya jambo/tendo fulani, kutokana na kutokuwa na uzoefu inabidi atumie uzingativu wakati wa kutekeleza jambo/tendo husika. kwa mfano mtu anayejifunza kuendesha gari akitaka kubadili mwendo wa gari itambidi afikirie sana kabla ya uamuzi huo, lakini Unconscious/subconscious mind ni pale mtu anapofanya jambo bila kutumia akili au kufikiri, tukilinganisha na mfano wa dereva hapo juu utaona kuwa madereva wote wazoefu wanatumia unconscious/subconscious mind wakiwa wanaendesha magari. Kwahiyo kwa kifupi naweza kusema kwamba….
Conscious mind - Uzingativu/kufikiri wakati wa kutenda.
Unconscious/Subconsciou mind- Kutozingatia/kutokufikiri wakati wa kutenda.
Tofauti ya conscious na unconscious/subconscious mind zinategemea taarifa za tendo fulani zilizopo kwenye ubongo. Unconscious/subconscious mind inatokea pale mtu anapokuwa kwenye sehemu au kitu ambacho ni kigeni kwake.
Tumezoea kutamka 1,2,3,4.. .10 kwa harakaharaka. Lakini ni vigumu kutamka namba hizo ukianzia 10,9,8,7,6...1 kwa harakaharaka.
Sub conscious mind hufanya kazi 24/7. Sub conscious mind ni pale ubapofikiria kitu sana then yanatokea mazingira yanayosababisha hicho kitu kutokea. Mfano kwenye safari gari inaenda mwendo kazi barabarani unaanza kupata woga unaiona kabisa ajali na jinsi inavyotokea,gari inatoka barabarani na kuwarusha abiria huko na huko. Then mara unasikia tyre burst then gari ina...
Ukipata kitabu hiki kisome 'The power of sub conscious mind' by Joseph Murphy. Kinaelezea vizuri sana.
Naona niishie hapo kutiririka nitaendelea kesho na Makala hii. Mwenye kuelewa na aelewe. Mabadiliko huanza na wewe.
Ninakushukuru sana kwa kuweza kunifuatilia na nikuombe kuwa huru kunipigia, au kuniandikia. Pamoja tunaweza
Seth Simon Mwakitalu
Senior Auditor, Entrepreneurship Consultant, Coach and Lifestyle Trainer.
Tel:- +255 754 441325; +255 714 051174; +255 788 493836
Email: ssmwakitalu2013@gmail.com
Websites:www.karakanayaubongo.blogspot.com;
:www.bereadytolearn.org
We empower people:-
1. Achieve life and Career goals through part-time business venture.
2. Acquire life changing business skills.
3. Prepare for retirement.

Safi
JibuFutaNimeelewa .
JibuFuta