Ruka hadi kwenye maudhui makuu
SOMO JUU YA FEDHA /SHEKELI (SEHEMU YA 33)
Somo Juu Ya Fedha/Shekeli Sehemu Ya 33
Habari za leo mfuatiliaji wangu wa makala zangu za kila siku.
Bado tunaendelea na somo letu pendwa juu ya fedha/shekeli
Leo tunakwenda kujifunza umuhimu wa mizania katika mafanikio.
Tumejifunza mengi kuhusiana na masuala ya fedha na sasa ni muhimu tukajua umuhimu wa mizania katika mafanikio.
Kikubwa ninachotaka kukufahamisha leo ni kuwa mafanikio sahihi ni lazima yawe yametokana na uwekezaji wa kiroho na uwekezaji halisia unaoweza onekana kwa macho ya nyama.
Ni ujinga kujikita kwenye mambo ya kiroho 100% ikiwa ni pamoja na utoaji wa fungu la kumi kwa uaminifu ati kwa kuwa imeandikwa utabarikiwa kwa kuwa mwaminifu na kubaki umekaa na kusubiria baraka zimwagike. UTASUBIRI SANA na ndipo utaanza kujiuliza na kuona kama Mungu amekuacha.
Hivi unawezaje mfano kuwa mwaminifu wa fungu la kumi na kushindwa kuwa mwaminifu wa kuwekeza 10% kwa uaminifu kama ilivyo kwa fungu la kumi na ukafuata kanuni zote za kufanikisha, na uone kama Mungu hatakufanikisha.
Shida kubwa ni kwamba wakristo wengi wamefikiria mafanikio ni aoutomatic yaani yatajijia tu maadamu uaminifu kwa Mungu atauzingatia. Mbona ingekuwa hivyo watu wangekimbilia wokovu maana wokovu ungelikuwa ni kichaka cha kuficha wavivu na wazembe wasiozingatia kanuni za kufuata na kusababisha mambo kutokea.
Lakini pia ni mbaya zaidi ukifanikiwa pasipo kuwa na uaminifu kwa Mungu au kwa lugha nyingine wewe ukajibidisha kufuata kanuni zote za kiuchumi kukufikisha kwenye mafanikio na huku ukiwa huna mahusiano mazuri na Mungu. Utaishi na ‘mafanikio’ lakini utakuwa huna furaha, si ajabu kama umeoa hata ndoa yumkini itakuwa kwenye matatizo na mambo kadha wa kadha maana shetani itakuwa rahisi kufanya makao kwako na kukuletea kadhia mbalimbali kama ilivyo kawaida yake. Mungu atusaidie.
Utaona kwa hakika ya kuwa, kuegemea sehemu moja na kuacha nyingine ni shida. Lazima mambo yabalance yaani kuwa mwaminifu kwa Mungu na vivyo hivyo mwaminifu kwa utekelezaji wa yale yakupasayo kuyafanya na ndipo utaona uzuri wa kumjua Mungu.
.
Acha kwa leo niishie hapa tutaendeleza somo hili katika Makala ijayo. Usikose kunifuatilia katika Makala zinazofuata.
Karakana ya ubongo tunatengeneza ubongo wako
Kwa wasioijua karakana ya ubongo ni watu waliojikusanya pamoja katika kundi la watsapp kwa lengo la kuondoa takataka kwenye ufahamu na kuanza kujifunza pamoja na kukutana angalau mara moja kwa mwezi ili kuwa chachu ndani na nje ya nchi.
Ili kujiunga yakupasa kuwasiliana nami ili kuweza kukufanyia udahili kama unavigezo vya kuwa mmoja wa wanakarakana ya ubongo.
Na kwa sasa tuna kitabu maarufu kiitwacho ‘KOPE ZAKO BAHARI YAKO’ na kama wewe ni mmoja ya wanaojipenda hiki kitabu si cha kukosa. Tuwasiliane na kuona jinsi ya kukipata.
Seth Simon Mwakitalu
Senior Auditor, Entrepreneurship Consultant, Coach and Lifestyle Trainer.
Tel:- +255 754 441325; +255 788 493836
Email: ssmwakitalu2013@gmail.com
Websites:www.karakanayaubongo.blogspot.com;
Instagram: karakana_ya_ubongo
Facebook: https://www.facebook.com/karakana-YA-Ubongo-109000130642880/?referr=whatsapp
You tube: karakanayaubongo
We empower people:-
1. Achieve life and Career goals through part-time business venture.
2. Acquire life changing business skills.
3. Prepare for retirement.
Nilipambana na utasa kwa miaka mingi hadi mwishowe nikakata tamaa. Lakini kama msemo unavyoenda, kuna marafiki ambao haukutani mara mbili maishani. Shukrani kwa rafiki mzuri sana ambaye alinitambulisha kwa Dk. Dawn, kila kitu kilibadilika.
JibuFutaBaada ya kueleza hali yangu, Dk. Dawn aliahidi kunisaidia katika tambiko la ujauzito. Kusema kweli, sikuamini kwamba ingefaa kwa sababu tayari nilikuwa na umri wa miaka 40, lakini niliamua kufuata maagizo. Kwa mshangao mkubwa, wiki tatu tu baadaye, nilipata mimba!
Furaha iliyokuwa moyoni mwangu—na katika mioyo ya mume wangu na familia—ilizidi kudhibitiwa nilipowaonyesha matokeo chanya ya ujauzito. Baadaye nilijifungua salama na kwa amani, na baada ya mwaka mmoja na miezi minane, nilipata mimba tena. Hakika ulikuwa ni muujiza usioelezeka.
Tangu wakati huo, nimependekeza Dk. Dawn kwa wanawake wengine wengi, na matokeo yao pia yamekuwa kama ilivyotarajiwa. Ndiyo maana ninapendekeza kwa moyo wote Dk. Dawn kwa mwanamke yeyote anayehangaika na utasa, matatizo ya ndoa au uhusiano, magonjwa, au aina yoyote ya suala la kiroho. Hakika atatoa suluhisho la kudumu.
📞 WhatsApp: +2349046229159
Kwa karibu mwaka mmoja, mume wangu aliniacha mimi na watoto wetu wawili. Aliacha kujali, akaacha kupiga simu, na akaondoka kabisa. Nilikuwa nimevunjika moyo, nimechanganyikiwa, na karibu kupoteza tumaini. Kisha siku moja, rafiki yangu aliniambia kuhusu Dkt. Dawn, mtu wa kiroho aliyepewa kipawa na ulimwengu ili kuwasaidia watu kurejesha upendo na amani.
JibuFutaMwanzoni, nilikuwa na shaka, lakini kitu kuhusu maneno yake kilinipa amani. Aliniambia haswa kilichokuwa kibaya na kwamba mtu alikuwa ametupa uchawi mkali kututenganisha. Aliandaa kazi maalum ya kiroho na uchawi wa kuungana tena kwa ajili yangu - na ndani ya siku chache, mume wangu alinipigia simu ghafla, akilia na kuomba msamaha.
Tangu wakati huo, maisha yangu hayajawahi kuwa sawa. Ndoa yetu sasa ni tamu na yenye furaha zaidi duniani. Tunapendana zaidi kuliko hapo awali, na nyumba yetu imejaa vicheko na baraka.
Lakini sio hivyo tu - Dkt. Dawn pia alisaidia kuondoa bahati mbaya na nishati hasi iliyozunguka familia yetu. Tangu wakati huo, kila kitu kimekuwa laini: amani nyumbani kwetu, maendeleo ya kifedha, afya njema, na furaha safi.
Ninashukuru ulimwengu kila siku kwa kuniongoza kwa Dkt. Dawn. Kwa kweli ni mtu mwenye nguvu na mwanga wa kimungu. Ikiwa unapitia hali yoyote - huzuni, bahati mbaya, au kuchanganyikiwa - usikate tamaa. Mfikie na uache ulimwengu ufanye kazi kupitia yeye ili kubadilisha hadithi yako, kama vile alivyobadilisha yangu.
Wasiliana naye kwenye WhatsApp: +2349046229159
dawnacuna314@gmail.com